Matendo 26:15 - Swahili Revised Union Version15 Nami nikasema, Wewe u nani, Bwana? Bwana akaniambia, Mimi ni Yesu, ambaye wewe unaniudhi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Mimi nikauliza: ‘Ni nani wewe Bwana?’ Naye Bwana akajibu: ‘Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Mimi nikauliza: ‘Ni nani wewe Bwana?’ Naye Bwana akajibu: ‘Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Mimi nikauliza: ‘Ni nani wewe Bwana?’ Naye Bwana akajibu: ‘Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 “Nikauliza, ‘Ni nani wewe, Bwana?’ “Naye Bwana akajibu, ‘Ni mimi Isa unayemtesa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 “Nikauliza, ‘Ni nani wewe, Bwana?’ “Naye Bwana Isa akajibu, ‘Ni mimi Isa unayemtesa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Nami nikasema, Wewe u nani, Bwana? Bwana akaniambia, Mimi ni Yesu, ambaye wewe unaniudhi. Tazama sura |