Matendo 24:13 - Swahili Revised Union Version13 Wala hawawezi kuyahakikisha mambo haya wanayonishitaki sasa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Wala hawawezi kuthibitisha mashtaka waliyotoa juu yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Wala hawawezi kuthibitisha mashtaka waliyotoa juu yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Wala hawawezi kuthibitisha mashtaka waliyotoa juu yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Wala hawawezi kabisa kukuthibitishia mashtaka haya wanayoleta dhidi yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Wala hawawezi kabisa kukuthibitishia mashtaka haya wanayonishtaki kwayo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Wala hawawezi kuyahakikisha mambo haya wanayonishitaki sasa. Tazama sura |