Matendo 21:6 - Swahili Revised Union Version6 na baada ya kuagana tukapanda melini, nao wakarudi kwao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Kisha tuliagana; sisi tukapanda meli, nao wakarudi makwao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Kisha tuliagana; sisi tukapanda meli, nao wakarudi makwao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Kisha tuliagana; sisi tukapanda meli, nao wakarudi makwao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Baada ya kuagana, tukapanda kwenye meli, nao wakarudi manyumbani mwao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Baada ya kuagana, tukapanda melini, nao wakarudi majumbani mwao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 na baada ya kuagana tukapanda melini, nao wakarudi kwao. Tazama sura |