Matendo 21:23 - Swahili Revised Union Version23 Basi fanya neno hili tunalokuambia. Wako kwetu watu wanne waliofungwa na nadhiri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Basi, fanya kama tunavyokushauri. Tunao hapa watu wanne ambao wameweka nadhiri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Basi, fanya kama tunavyokushauri. Tunao hapa watu wanne ambao wameweka nadhiri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Basi, fanya kama tunavyokushauri. Tunao hapa watu wanne ambao wameweka nadhiri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Kwa hiyo fanya lile tunalokuambia. Tuna watu wanne hapa ambao wameweka nadhiri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Kwa hiyo fanya lile tunalokuambia. Tunao watu wanne hapa ambao wameweka nadhiri. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Basi fanya neno hili tunalokuambia. Wako kwetu watu wanne waliofungwa na nadhiri. Tazama sura |