Matendo 2:19 - Swahili Revised Union Version19 Nami nitatoa ajabu katika mbingu juu, na ishara katika nchi chini, damu na moto, na mvuke wa moshi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Nitatenda miujiza juu angani, na ishara chini duniani; kutakuwa na damu, moto na moshi mzito; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Nitatenda miujiza juu angani, na ishara chini duniani; kutakuwa na damu, moto na moshi mzito; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Nitatenda miujiza juu angani, na ishara chini duniani; kutakuwa na damu, moto na moshi mzito; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Nami nitaonesha maajabu juu mbinguni, na ishara chini duniani: damu, moto, na mawimbi ya moshi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Nami nitaonyesha maajabu juu mbinguni, na ishara chini duniani: damu, moto, na mawimbi ya moshi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Nami nitatoa ajabu katika mbingu juu, na ishara katika nchi chini, damu na moto, na mvuke wa moshi. Tazama sura |