Matendo 2:1 - Swahili Revised Union Version1 Wakati ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Siku ya Pentekoste ilipofika, waumini wote walikuwa wamekusanyika mahali pamoja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Siku ya Pentekoste ilipofika, waumini wote walikuwa wamekusanyika mahali pamoja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Siku ya Pentekoste ilipofika, waumini wote walikuwa wamekusanyika mahali pamoja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Siku ya Pentekoste ilipowadia, waumini wote walikuwa mahali pamoja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Siku ya Pentekoste ilipowadia, waamini wote walikuwa mahali pamoja. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Wakati ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja. Tazama sura |
hata ikawa, wenye panda na waimbaji walipokuwa kama mmoja, wakisikizisha sauti moja ya kumsifu na kumshukuru BWANA nao wakipaza sauti pamoja na panda na matoazi na vinanda, wakimsifu BWANA, wakisema, Kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake ni za milele; ndipo nyumba ikajawa na wingu, naam, nyumba ya BWANA,