Matendo 19:2 - Swahili Revised Union Version2 akawauliza, Je! Mlipokea Roho Mtakatifu mlipoamini? Wakamjibu, La, hata kusikia kwamba kuna Roho Mtakatifu hatukusikia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Akauliza, “Je, mlipopata kuwa waumini mlipokea Roho Mtakatifu?” Nao wakamjibu, “La! Hata hatujasikia kwamba kuna Roho Mtakatifu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Akauliza, “Je, mlipopata kuwa waumini mlipokea Roho Mtakatifu?” Nao wakamjibu, “La! Hata hatujasikia kwamba kuna Roho Mtakatifu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Akauliza, “Je, mlipopata kuwa waumini mlipokea Roho Mtakatifu?” Nao wakamjibu, “La! Hata hatujasikia kwamba kuna Roho Mtakatifu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 akawauliza, “Je, mlipokea Roho wa Mungu mlipoamini?” Wakajibu, “Hapana, hata hatukusikia kuwa kuna Roho wa Mungu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 akawauliza, “Je, mlipokea Roho wa Mwenyezi Mungu mlipoamini?” Wakajibu, “Hapana, hata hatukusikia kuwa kuna Roho wa Mwenyezi Mungu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 akawauliza, Je! Mlipokea Roho Mtakatifu mlipoamini? Wakamjibu, La, hata kusikia kwamba kuna Roho Mtakatifu hatukusikia. Tazama sura |