Matendo 18:20 - Swahili Revised Union Version20 Walipomtaka akae muda mrefu zaidi, hakukubali; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Walimwomba akae nao muda mrefu zaidi, lakini hakupenda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Walimwomba akae nao muda mrefu zaidi, lakini hakupenda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Walimwomba akae nao muda mrefu zaidi, lakini hakupenda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Walipomwomba akae nao kwa muda mrefu zaidi hakukubali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Walipomwomba akae nao kwa muda mrefu zaidi hakukubali. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Walipomtaka akae muda mrefu zaidi, hakukubali; Tazama sura |