Matendo 18:11 - Swahili Revised Union Version11 Akakaa huko muda wa mwaka mmoja na miezi sita akifundisha kati yao neno la Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Basi, Paulo alikaa huko akifundisha neno la Mungu kati yao kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Basi, Paulo alikaa huko akifundisha neno la Mungu kati yao kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Basi, Paulo alikaa huko akifundisha neno la Mungu kati yao kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Hivyo Paulo akakaa huko kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, akiwafundisha Maandiko ya Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Hivyo Paulo akakaa huko kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, akiwafundisha neno la Mwenyezi Mungu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Akakaa huko muda wa mwaka mmoja na miezi sita akifundisha kati yao neno la Mungu. Tazama sura |