Matendo 16:2 - Swahili Revised Union Version2 Mtu huyo alishuhudiwa vema na ndugu waliokaa Listra na Ikonio. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Timotheo alikuwa na sifa kubwa kati ya wale ndugu wa Lustra na Ikonio. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Timotheo alikuwa na sifa kubwa kati ya wale ndugu wa Lustra na Ikonio. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Timotheo alikuwa na sifa kubwa kati ya wale ndugu wa Lustra na Ikonio. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Alikuwa amesifiwa sana na wale ndugu waliokuwa wameamini huko Listra na Ikonio Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Alikuwa amesifiwa sana na wale ndugu waliokuwa wameamini huko Listra na Ikonio Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Mtu huyo alishuhudiwa vema na ndugu waliokaa Listra na Ikonio. Tazama sura |