Matendo 14:25 - Swahili Revised Union Version25 Na baada ya kuhubiri lile neno katika Perge wakateremka mpaka Atalia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Baada ya kuhubiri ule ujumbe huko Perga, walikwenda Atalia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Baada ya kuhubiri ule ujumbe huko Perga, walikwenda Atalia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Baada ya kuhubiri ule ujumbe huko Perga, walikwenda Atalia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Baada ya kuhubiri neno la Mungu huko Perga, wakateremkia Atalia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Baada ya kuhubiri neno la Mungu huko Perga, wakateremkia Atalia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Na baada ya kuhubiri lile neno katika Perge wakateremka mpaka Atalia. Tazama sura |