Matendo 14:18 - Swahili Revised Union Version18 Na kwa maneno hayo wakawazuia watu kwa shida, wasiwatolee dhabihu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Ingawa walisema hivyo haikuwa rahisi kuwazuia wale watu wasiwatambikie. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Ingawa walisema hivyo haikuwa rahisi kuwazuia wale watu wasiwatambikie. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Ingawa walisema hivyo haikuwa rahisi kuwazuia wale watu wasiwatambikie. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Hata kwa maneno haya yote, ilikuwa vigumu kuzuia umati ule wa watu kuwatolea dhabihu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Hata kwa maneno haya yote, ilikuwa vigumu kuuzuia ule umati wa watu kuwatolea dhabihu. Tazama sura |