Matendo 14:12 - Swahili Revised Union Version12 Wakamwita Barnaba, Zeu, na Paulo, Herme, kwa sababu ndiye aliyekuwa mnenaji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Barnaba akaitwa Zeu, na Paulo, kwa vile yeye ndiye aliyekuwa anaongea, akaitwa Herme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Barnaba akaitwa Zeu, na Paulo, kwa vile yeye ndiye aliyekuwa anaongea, akaitwa Herme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Barnaba akaitwa Zeu, na Paulo, kwa vile yeye ndiye aliyekuwa anaongea, akaitwa Herme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Wakamwita Barnaba Zeu na Paulo wakamwita Herme kwa kuwa ndiye alikuwa msemaji mkuu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Wakamwita Barnaba Zeu na Paulo wakamwita Herme kwa kuwa ndiye alikuwa msemaji mkuu. Tazama sura |