Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Matendo 13:35 - Swahili Revised Union Version

35 Kwa hiyo anena na pengine, Hutamwachia Mtakatifu wako kuona uharibifu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Naam, na katika sehemu nyingine za Zaburi asema: ‘Hutamwacha Mtakatifu wako aoze.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Naam, na katika sehemu nyingine za Zaburi asema: ‘Hutamwacha Mtakatifu wako aoze.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Naam, na katika sehemu nyingine za Zaburi asema: ‘Hutamwacha Mtakatifu wako aoze.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Kama ilivyosemwa mahali pengine katika Zaburi, “ ‘Hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Kama ilivyosemwa mahali pengine katika Zaburi, “ ‘Hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu.’

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

35 Kwa hiyo anena na pengine, Hutamwachia Mtakatifu wako kuona uharibifu.

Tazama sura Nakili

Matendo 13:35
9 Marejeleo ya Msalaba  

Maana hutaitupa kuzimu nafsi yangu, Wala hutamtoa mtakatifu wako aone uharibifu.

ndipo aishi milele asilione kaburi.

Ni mwanamume gani atakayeishi asione mauti, Atakayejiokoa nafsi yake na mkono wa kuzimu?

Naye alikuwa ameonywa na Roho Mtakatifu ya kwamba hataona mauti kabla ya kumwona Kristo wa Bwana.

Amwaminiye Mwana ana uzima wa milele; asiyemwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya Mungu inamkalia.

Amin, amin, nawaambia, Mtu akilishika neno langu, hataona mauti milele.

Kwa imani Henoko alihamishwa, asije akaona mauti, wala hakuonekana, kwa sababu Mungu alimhamisha; maana kabla ya kuhamishwa alikuwa ameshuhudiwa kwamba amempendeza Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo