Matendo 13:18 - Swahili Revised Union Version18 Na kwa muda wa miaka kama arubaini akawavumilia katika jangwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Aliwavumilia kwa muda wa miaka arubaini kule jangwani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Aliwavumilia kwa muda wa miaka arubaini kule jangwani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Aliwavumilia kwa muda wa miaka arubaini kule jangwani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kwa muda wa miaka arobaini alivumilia matendo yao walipokuwa jangwani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kwa muda wa miaka arobaini alivumilia matendo yao walipokuwa jangwani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Na kwa muda wa miaka kama arobaini akawavumilia katika jangwa. Tazama sura |