Matendo 12:13 - Swahili Revised Union Version13 Naye alipobisha kilango cha lango, kijakazi, jina lake Roda, akaja kusikiliza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Petro alipiga hodi kwenye mlango wa nje na mtumishi mmoja msichana aitwaye Roda, akaenda mlangoni kuitikia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Petro alipiga hodi kwenye mlango wa nje na mtumishi mmoja msichana aitwaye Roda, akaenda mlangoni kuitikia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Petro alipiga hodi kwenye mlango wa nje na mtumishi mmoja msichana aitwaye Roda, akaenda mlangoni kuitikia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Petro alipobisha hodi kwenye lango la nje, mjakazi aliyeitwa Roda akaja kumfungulia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Petro alipobisha hodi kwenye lango la nje, mtumishi wa kike jina lake Roda, akaja kumfungulia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Naye alipobisha kilango cha lango, kijakazi, jina lake Roda, akaja kusikiliza. Tazama sura |