Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Matendo 11:6 - Swahili Revised Union Version

6 Nikakitazama sana, nikifikiri, nikaona wanyama wa nchi wenye miguu minne, na wanyama wa mwituni, wale watambaao, na ndege wa angani.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Nilichungulia ndani kwa makini nikaona wanyama wenye miguu minne, wanyama wa mwituni, wanyama watambaao na ndege wa angani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Nilichungulia ndani kwa makini nikaona wanyama wenye miguu minne, wanyama wa mwituni, wanyama watambaao na ndege wa angani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Nilichungulia ndani kwa makini nikaona wanyama wenye miguu minne, wanyama wa mwituni, wanyama watambaao na ndege wa angani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Nilipoangalia ndani yake kwa karibu niliona wanyama wenye miguu minne wa nchini, wanyama mwitu, wanyama watambaao, na ndege wa angani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Nilipoangalia ndani yake kwa karibu niliona wanyama wenye miguu minne wa nchini, wanyama wa mwitu, watambaao na ndege wa angani.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

6 Nikakitazama sana, nikifikiri, nikaona wanyama wa nchi wenye miguu minne, na wanyama wa mwituni, wale watambaao, na ndege wa angani.

Tazama sura Nakili

Matendo 11:6
6 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo akaweka tena mikono yake juu ya macho yake, naye akatazama sana; akawa mzima, akaona vyote waziwazi.

Akakifunga kitabu, akamrudishia mtumishi, akaketi; na watu wote waliokuwamo katika sinagogi wakamkazia macho.

ambayo ndani yake walikuwamo aina zote za wanyama wenye miguu minne, na hao watambaao, na ndege wa angani.

Nilikuwa katika mji wa Yafa, nikiomba, roho yangu ikazimia, nikaona maono; chombo kinashuka, kama nguo kubwa inateremshwa kutoka mbinguni kwa pembe zake nne, kikanifikia.

Nikasikia na sauti ikiniambia, Ondoka, Petro, ukachinje ule.

Na Petro, akimkazia macho, pamoja na Yohana, akasema, Tutazame sisi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo