Matendo 11:21 - Swahili Revised Union Version21 Mkono wa Bwana ukawa pamoja nao, watu wengi wakaamini, wakamwelekea Bwana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Bwana aliwasaidia na idadi kubwa ya watu iliamini na kumgeukia Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Bwana aliwasaidia na idadi kubwa ya watu iliamini na kumgeukia Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Bwana aliwasaidia na idadi kubwa ya watu iliamini na kumgeukia Bwana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Mkono wa Mwenyezi Mungu ulikuwa pamoja nao, nayo idadi kubwa ya watu wakaamini na kumgeukia Bwana Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Mkono wa Mwenyezi Mungu ulikuwa pamoja nao, nayo idadi kubwa ya watu wakaamini na kumgeukia Bwana Isa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Mkono wa Bwana ukawa pamoja nao, watu wengi wakaamini, wakamwelekea Bwana. Tazama sura |