Matendo 10:5 - Swahili Revised Union Version5 Sasa basi, tuma watu Yafa, ukamwite Simoni, aitwaye Petro. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Sasa, watume watu Yopa wakamwite mtu mmoja aitwaye Simoni, kwa jina lingine Petro. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Sasa, watume watu Yopa wakamwite mtu mmoja aitwaye Simoni, kwa jina lingine Petro. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Sasa, watume watu Yopa wakamwite mtu mmoja aitwaye Simoni, kwa jina lingine Petro. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Sasa tuma watu waende Yafa wakamwite mtu mmoja jina lake Simoni aitwaye Petro. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Sasa tuma watu waende Yafa wakamwite mtu mmoja, jina lake Simoni aitwaye Petro. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Sasa basi, tuma watu Yafa, ukamwite Simoni, aitwaye Petro. Tazama sura |