Matendo 10:35 - Swahili Revised Union Version35 bali katika kila taifa mtu amchaye na kutenda haki hukubaliwa na yeye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Mtu wa taifa lolote anayemcha Mungu na kutenda yaliyo sawa anapokelewa naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Mtu wa taifa lolote anayemcha Mungu na kutenda yaliyo sawa anapokelewa naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Mtu wa taifa lolote anayemcha Mungu na kutenda yaliyo sawa anapokelewa naye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 lakini katika kila taifa, kila mtu amchaye na kutenda yaliyo haki hukubaliwa naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 lakini katika kila taifa, kila mtu amchaye na kutenda yaliyo haki hukubaliwa naye. Tazama sura |