Matendo 10:18 - Swahili Revised Union Version18 wakaita; wakauliza kama Simoni aitwaye Petro anakaa humo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 wakaita kwa sauti: “Je, kuna mgeni humu aitwaye Simoni Petro?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 wakaita kwa sauti: “Je, kuna mgeni humu aitwaye Simoni Petro?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 wakaita kwa sauti: “Je, kuna mgeni humu aitwaye Simoni Petro?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Wakabisha hodi na kuuliza kama Simoni aliyeitwa Petro alikuwa anaishi hapo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Wakabisha hodi na kuuliza kama Simoni aliyeitwa Petro alikuwa anaishi hapo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 wakaita; wakauliza kama Simoni aitwaye Petro anakaa humo. Tazama sura |