Marko 9:46 - Swahili Revised Union Version46 ambamo humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki.] Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema46 Humo, wadudu wake hawafi na moto hauzimiki.] Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND46 Humo, wadudu wake hawafi na moto hauzimiki.] Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu46 Ni mahali ambako funza wao hawafi wala moto wao hauzimiki.] Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu46 Mahali ambako funza wake hawafi wala moto hauzimiki.] Tazama suraBIBLIA KISWAHILI46 ambamo humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki.] Tazama sura |