Marko 6:46 - Swahili Revised Union Version46 Hata alipokwisha kuagana nao akaenda zake mlimani kuomba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema46 Baada ya kuwaaga watu alikwenda mlimani kusali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND46 Baada ya kuwaaga watu alikwenda mlimani kusali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza46 Baada ya kuwaaga watu alikwenda mlimani kusali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu46 Baada ya kuwaaga, akaenda mlimani kuomba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu46 Baada ya kuwaaga wale watu, akaenda mlimani kuomba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI46 Hata alipokwisha kuagana nao akaenda zake mlimani kuomba. Tazama sura |