Marko 6:1 - Swahili Revised Union Version1 Akatoka huko, akafika mpaka nchi ya kwao; wanafunzi wake wakamfuata. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Yesu aliondoka hapo akaenda katika kijiji chake, akifuatwa na wanafunzi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Yesu aliondoka hapo akaenda katika kijiji chake, akifuatwa na wanafunzi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Yesu aliondoka hapo akaenda katika kijiji chake, akifuatwa na wanafunzi wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Isa akaondoka huko na kwenda mji wa kwao, akiandamana na wanafunzi wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Isa akaondoka huko na kwenda mji wa kwao, akiwa amefuatana na wanafunzi wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Akatoka huko, akafika mpaka nchi ya kwao; wanafunzi wake wakamfuata. Tazama sura |