Marko 5:8 - Swahili Revised Union Version8 Kwa sababu amemwambia, Ewe pepo mchafu, mtoke mtu huyu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Alisema hivyo kwa kuwa Yesu alikuwa amemwambia, “Pepo mchafu, mtoke mtu huyu.”) Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Alisema hivyo kwa kuwa Yesu alikuwa amemwambia, “Pepo mchafu, mtoke mtu huyu.”) Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Alisema hivyo kwa kuwa Yesu alikuwa amemwambia, “Pepo mchafu, mtoke mtu huyu.”) Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kwa kuwa Isa alikuwa amemwambia, “Mtoke mtu huyu, wewe pepo mchafu!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kwa kuwa Isa alikuwa amemwambia, “Mtoke mtu huyu, wewe pepo mchafu!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Kwa sababu amemwambia, Ewe pepo mchafu, mtoke mtu huyu. Tazama sura |