Marko 2:3 - Swahili Revised Union Version3 Wakaja watu wakimletea mtu mwenye kupooza, anachukuliwa na watu wanne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 wakati mtu mmoja aliyepooza alipoletwa kwake akiwa amechukuliwa na watu wanne. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 wakati mtu mmoja aliyepooza alipoletwa kwake akiwa amechukuliwa na watu wanne. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 wakati mtu mmoja aliyepooza alipoletwa kwake akiwa amechukuliwa na watu wanne. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Ndipo baadhi ya watu wakaja wakamletea Isa mtu aliyepooza, akiwa amebebwa na watu wanne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Ndipo baadhi ya watu wakaja wakamletea Isa mtu aliyepooza, akiwa amebebwa na watu wanne. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Wakaja watu wakimletea mtu mwenye kupooza, anachukuliwa na watu wanne. Tazama sura |