Marko 2:19 - Swahili Revised Union Version19 Yesu akawaambia, Walioalikwa arusini wawezaje kufunga maadamu bwana arusi yupo pamoja nao? Muda wote walipo na bwana arusi pamoja nao hawawezi kufunga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Yesu akajibu, “Je, walioalikwa harusini hutakiwa kufunga wakati bwana arusi yupo pamoja nao? Wakati wote wawapo pamoja na bwana arusi hawawezi kufunga. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Yesu akajibu, “Je, walioalikwa harusini hutakiwa kufunga wakati bwana arusi yupo pamoja nao? Wakati wote wawapo pamoja na bwana arusi hawawezi kufunga. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Yesu akajibu, “Je, walioalikwa harusini hutakiwa kufunga wakati bwana arusi yupo pamoja nao? Wakati wote wawapo pamoja na bwana arusi hawawezi kufunga. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Isa akawajibu, “Wageni wa bwana arusi wawezaje kufunga wakati angali pamoja nao? Wakati bwana arusi bado yuko pamoja nao, hawawezi kufunga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Isa akawajibu, “Wageni wa bwana arusi wawezaje kufunga wakati angali pamoja nao? Wakati bwana arusi bado yuko pamoja nao, hawawezi kufunga. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Yesu akawaambia, Walioalikwa harusini wawezaje kufunga maadamu bwana harusi yupo pamoja nao? Muda wote walipo na bwana harusi pamoja nao hawawezi kufunga. Tazama sura |