Marko 2:1 - Swahili Revised Union Version1 Akaingia Kapernaumu tena, baada ya siku kadhaa, ikasikiwa ya kwamba yumo nyumbani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Baada ya siku kadhaa, Yesu alirudi Kafarnaumu, watu wakapata habari kwamba alikuwa nyumbani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Baada ya siku kadhaa, Yesu alirudi Kafarnaumu, watu wakapata habari kwamba alikuwa nyumbani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Baada ya siku kadhaa, Yesu alirudi Kafarnaumu, watu wakapata habari kwamba alikuwa nyumbani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Baada ya siku kadhaa Isa alirudi Kapernaumu, watu wakasikia kwamba yupo nyumbani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Baada ya siku kadhaa Isa alirudi Kapernaumu, watu wakasikia kwamba amerudi nyumbani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Akaingia Kapernaumu tena, baada ya siku kadhaa, ikasikiwa ya kwamba yumo nyumbani. Tazama sura |