Marko 14:8 - Swahili Revised Union Version8 Ametenda alivyoweza; ametangulia kuupaka mwili wangu marhamu kwa ajili ya maziko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Yeye amefanya alivyoweza; ameupaka mwili wangu marashi kuutayarisha kwa mazishi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Yeye amefanya alivyoweza; ameupaka mwili wangu marashi kuutayarisha kwa mazishi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Yeye amefanya alivyoweza; ameupaka mwili wangu marashi kuutayarisha kwa mazishi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Huyu mwanamke amenitendea lile aliloweza. Ameumiminia mwili wangu manukato ili kuniandaa kwa maziko yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Huyu mwanamke amenitendea lile aliloweza. Ameumiminia mwili wangu manukato ili kuniandaa kwa maziko yangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Ametenda alivyoweza; ametangulia kuupaka mwili wangu marhamu kwa ajili ya maziko. Tazama sura |