Marko 14:71 - Swahili Revised Union Version71 Akaanza kulaani na kuapiza, Simjui mtu huyu mnayemnena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema71 Lakini Petro akaanza kulaani na kuapa akisema, “Mimi simjui mtu huyu mnayesema habari zake.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND71 Lakini Petro akaanza kulaani na kuapa akisema, “Mimi simjui mtu huyu mnayesema habari zake.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza71 Lakini Petro akaanza kulaani na kuapa akisema, “Mimi simjui mtu huyu mnayesema habari zake.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu71 Petro akaanza kujilaani na kuwaapia, “Mimi simjui huyu mtu mnayesema habari zake!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu71 Petro akaanza kujilaani na kuwaapia, “Mimi simjui huyu mtu mnayesema habari zake!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI71 Akaanza kulaani na kuapiza, Simjui mtu huyu mnayemnena. Tazama sura |