Marko 14:6 - Swahili Revised Union Version6 Yesu akasema, Mwacheni; mbona mnamsumbua? Amenitendea kazi njema; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Lakini Yesu akawaambia, “Mwacheni; kwa nini mnamsumbua? Amenitendea jambo jema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Lakini Yesu akawaambia, “Mwacheni; kwa nini mnamsumbua? Amenitendea jambo jema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Lakini Yesu akawaambia, “Mwacheni; kwa nini mnamsumbua? Amenitendea jambo jema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Lakini Isa akawaambia, “Mbona mnamsumbua huyu mwanamke? Mwacheni! Yeye amenitendea jambo zuri sana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Lakini Isa akawaambia, “Mbona mnamsumbua huyu mwanamke? Mwacheni! Yeye amenitendea jambo zuri sana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Yesu akasema, Mwacheni; mbona mnamsumbua? Amenitendea kazi njema; Tazama sura |