Marko 14:26 - Swahili Revised Union Version26 Nao walipokwisha kuimba walitoka kwenda katika mlima wa Mizeituni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Kisha wakaimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Kisha wakaimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Kisha wakaimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Nao walipokwisha kuimba walitoka kwenda katika mlima wa Mizeituni. Tazama sura |