Marko 1:21 - Swahili Revised Union Version21 Wakashika njia mpaka Kapernaumu, na mara siku ya sabato akaingia katika sinagogi, akafundisha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Wakafika mjini Kafarnaumu, na mara ilipofika Sabato, Yesu akaingia katika sunagogi, akaanza kufundisha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Wakafika mjini Kafarnaumu, na mara ilipofika Sabato, Yesu akaingia katika sunagogi, akaanza kufundisha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Wakafika mjini Kafarnaumu, na mara ilipofika Sabato, Yesu akaingia katika sunagogi, akaanza kufundisha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Wakaenda hadi Kapernaumu. Mara ilipofika siku ya Sabato, Isa akaingia sinagogi, akaanza kufundisha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Wakaenda mpaka Kapernaumu. Ilipofika siku ya Sabato, mara Isa akaingia sinagogi, akaanza kufundisha. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Wakashika njia mpaka Kapernaumu, na mara siku ya sabato akaingia katika sinagogi, akafundisha. Tazama sura |