Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Maombolezo 4:12 - Swahili Revised Union Version

12 Wafalme wa dunia hawakusadiki, Wala wote wakaao duniani, Ya kwamba mtesi na adui wangeingia Katika malango ya Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Wafalme duniani hawakuamini wala wakazi wowote wa ulimwenguni, kwamba mvamizi au adui angeweza kuingia malango ya Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Wafalme duniani hawakuamini wala wakazi wowote wa ulimwenguni, kwamba mvamizi au adui angeweza kuingia malango ya Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Wafalme duniani hawakuamini wala wakazi wowote wa ulimwenguni, kwamba mvamizi au adui angeweza kuingia malango ya Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Wafalme wa dunia hawakuamini, wala mtu yeyote wa duniani, kwamba adui na watesi wangeweza kuingia kwenye malango ya Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Wafalme wa dunia hawakuamini, wala mtu yeyote wa duniani, kwamba adui na watesi wangeweza kuingia kwenye malango ya Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 Wafalme wa dunia hawakusadiki, Wala wote wakaao duniani, Ya kwamba mtesi na adui wangeingia Katika malango ya Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Maombolezo 4:12
5 Marejeleo ya Msalaba  

Hata mwezi wa tano, siku ya saba ya mwezi, ndio mwaka wa kumi na tisa wa mfalme Nebukadneza, mfalme wa Babeli, Nebuzaradani, kamanda wa askari walinzi, mtumishi wa mfalme wa Babeli, akaingia Yerusalemu.

Tazama, mimi niko juu yako, Ewe ukaaye bondeni, na kwenye jabali la uwandani, asema BWANA ninyi mnaosema, Ni nani atakayeshuka apigane nasi? Au, Ni nani atakayeingia katika makao yetu?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo