Maombolezo 3:42 - Swahili Revised Union Version42 Sisi tumekosa na kuasi; Wewe hukusamehe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 “Sisi tulikukosea na kukuasi nawe bado hujatusamehe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 “Sisi tulikukosea na kukuasi nawe bado hujatusamehe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 “Sisi tulikukosea na kukuasi nawe bado hujatusamehe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 “Tumetenda dhambi na kuasi nawe hujasamehe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 “Tumetenda dhambi na kuasi nawe hujasamehe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI42 Sisi tumekosa na kuasi; Wewe hukusamehe. Tazama sura |