Maombolezo 3:24 - Swahili Revised Union Version24 BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, Kwa hiyo nitamtumaini yeye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Mwenyezi-Mungu ndiye hazina yangu hivyo nitamwekea tumaini langu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Mwenyezi-Mungu ndiye hazina yangu hivyo nitamwekea tumaini langu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Mwenyezi-Mungu ndiye hazina yangu hivyo nitamwekea tumaini langu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Nimeiambia nafsi yangu, “Mwenyezi Mungu ni fungu langu, kwa hiyo nitamngojea.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Nimeiambia nafsi yangu, “bwana ni fungu langu, kwa hiyo nitamngojea.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, Kwa hiyo nitamtumaini yeye. Tazama sura |