Maombolezo 2:12 - Swahili Revised Union Version12 Wao huwauliza mama zao, Ziko wapi nafaka na divai? Hapo wazimiapo kama waliojeruhiwa Katika mitaa ya mji, Hapo walipomiminika nafsi zao Vifuani mwa mama zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Wanawalilia mama zao: “Wapi chakula, wapi kinywaji?” Huku wanazirai kama majeruhi katika barabara za mjini, na kukata roho mikononi mwa mama zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Wanawalilia mama zao: “Wapi chakula, wapi kinywaji?” Huku wanazirai kama majeruhi katika barabara za mjini, na kukata roho mikononi mwa mama zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Wanawalilia mama zao: “Wapi chakula, wapi kinywaji?” huku wanazirai kama majeruhi katika barabara za mjini, na kukata roho mikononi mwa mama zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Wanawaambia mama zao, “Wapi mkate na divai?” wazimiapo kama watu waliojeruhiwa katika barabara za mji, maisha yao yadhoofikavyo mikononi mwa mama zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Wanawaambia mama zao, “Wapi mkate na divai?” wazimiapo kama watu waliojeruhiwa katika barabara za mji, maisha yao yadhoofikavyo mikononi mwa mama zao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Wao huwauliza mama zao, Ziko wapi nafaka na divai? Hapo wazimiapo kama waliojeruhiwa Katika mitaa ya mji, Hapo walipomiminika nafsi zao Vifuani mwa mama zao. Tazama sura |