Maombolezo 1:5 - Swahili Revised Union Version5 Watesi wake wamekuwa kichwa, Adui zake hufanikiwa; Kwa kuwa BWANA amemtesa Kwa sababu ya wingi wa makosa yake; Watoto wake wadogo wamechukuliwa mateka Mbele yake huyo mtesi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Adui zake ndio wanaoutawala na wanafanikiwa, kwani Mwenyezi-Mungu ameutesa kwa sababu ya makosa mengi. Watoto wake wametekwa na kupelekwa mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Adui zake ndio wanaoutawala na wanafanikiwa, kwani Mwenyezi-Mungu ameutesa kwa sababu ya makosa mengi. Watoto wake wametekwa na kupelekwa mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Adui zake ndio wanaoutawala na wanafanikiwa, kwani Mwenyezi-Mungu ameutesa kwa sababu ya makosa mengi. Watoto wake wametekwa na kupelekwa mbali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Adui zake wamekuwa mabwana zake, watesi wake wana amani. Mwenyezi Mungu amemletea huzuni kwa sababu ya dhambi zake nyingi. Watoto wake wameenda uhamishoni, wamekuwa mateka mbele ya adui. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Adui zake wamekuwa mabwana zake, watesi wake wana raha. bwana amemletea huzuni kwa sababu ya dhambi zake nyingi. Watoto wake wamekwenda uhamishoni, mateka mbele ya adui. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Watesi wake wamekuwa kichwa, Adui zake hufanikiwa; Kwa kuwa BWANA amemtesa Kwa sababu ya wingi wa makosa yake; Watoto wake wadogo wamechukuliwa mateka Mbele yake huyo mtesi. Tazama sura |