Luka 9:57 - Swahili Revised Union Version57 Nao walipokuwa wakienda njiani, mtu mmoja alimwambia, Nitakufuata kokote utakakokwenda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema57 Walipokuwa wakisafiri njiani, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote utakakokwenda.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND57 Walipokuwa wakisafiri njiani, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote utakakokwenda.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza57 Walipokuwa wakisafiri njiani, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote utakakokwenda.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu57 Walipokuwa njiani wakienda, mtu mmoja akamwambia Isa, “Nitakufuata popote utakakoenda.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu57 Walipokuwa njiani wakienda, mtu mmoja akamwambia Isa, “Nitakufuata kokote uendako.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI57 Nao walipokuwa wakienda njiani, mtu mmoja alimwambia, Nitakufuata kokote utakakokwenda. Tazama sura |