Luka 9:4 - Swahili Revised Union Version4 Na nyumba yoyote mtakayoingia kaeni humo, mpaka mtoke mjini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Nyumba yoyote mtakayoingia na kukaribishwa, kaeni humo mpaka mtakapoondoka katika kijiji hicho. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Nyumba yoyote mtakayoingia na kukaribishwa, kaeni humo mpaka mtakapoondoka katika kijiji hicho. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Nyumba yoyote mtakayoingia na kukaribishwa, kaeni humo mpaka mtakapoondoka katika kijiji hicho. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Katika nyumba yoyote mwingiayo, kaeni humo hadi mtakapoondoka katika mji huo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Katika nyumba yoyote mwingiayo, kaeni humo hadi mtakapoondoka katika mji huo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Na nyumba yoyote mtakayoingia kaeni humo, mpaka mtoke mjini. Tazama sura |