Luka 9:37 - Swahili Revised Union Version37 Ikawa kesho yake, waliposhuka mlimani, mkutano mkubwa ulikutana naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Kesho yake walipokuwa wakishuka kule mlimani, kundi kubwa la watu lilikutana na Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Kesho yake walipokuwa wakishuka kule mlimani, kundi kubwa la watu lilikutana na Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Kesho yake walipokuwa wakishuka kule mlimani, kundi kubwa la watu lilikutana na Yesu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Kesho yake waliposhuka kutoka mlimani, alikutana na umati mkubwa wa watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Kesho yake waliposhuka kutoka mlimani, alikutana na umati mkubwa wa watu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI37 Ikawa kesho yake, waliposhuka mlimani, mkutano mkubwa ulikutana naye. Tazama sura |