Luka 9:17 - Swahili Revised Union Version17 Wakala, wakashiba wote; na katika vile vipande vilivyowabakia walikusanya vikapu kumi na viwili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Watu wote wakala, wakashiba. Wakakusanya mabaki ya chakula, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Watu wote wakala, wakashiba. Wakakusanya mabaki ya chakula, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Watu wote wakala, wakashiba. Wakakusanya mabaki ya chakula, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Wote wakala, wakashiba. Nao wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Wote wakala, wakashiba. Nao wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Wakala, wakashiba wote; na katika vile vipande vilivyowabakia walikusanya vikapu kumi na viwili. Tazama sura |