Luka 8:4 - Swahili Revised Union Version4 Mkutano mkuu ulipokutanika, na wale waliotoka kila mji wakimjia, alisema kwa mfano; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Wakati mmoja kundi kubwa la watu lilikuwa linakusanyika, na watu walikuwa wanamjia Yesu kutoka kila mji. Naye akawaambia mfano huu: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Wakati mmoja kundi kubwa la watu lilikuwa linakusanyika, na watu walikuwa wanamjia Yesu kutoka kila mji. Naye akawaambia mfano huu: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Wakati mmoja kundi kubwa la watu lilikuwa linakusanyika, na watu walikuwa wanamjia Yesu kutoka kila mji. Naye akawaambia mfano huu: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Umati mkubwa wa watu walipokuwa wakikusanyika, nao watu walikuwa wakimjia Isa kutoka kila mji, akawaambia mfano huu: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Umati mkubwa wa watu ulipokuwa ukija kwa Isa kutoka kila mji, akawaambia mfano huu: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Mkutano mkuu ulipokutanika, na wale waliotoka kila mji wakimjia, alisema kwa mfano; Tazama sura |