Luka 8:34 - Swahili Revised Union Version34 Wachungaji walipoona lililotokea walikimbia, wakaieneza habari mjini na mashambani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Wale wachungaji walipoona yote yaliyotokea walikimbia, wakaenda kuwapa watu habari mjini na mashambani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Wale wachungaji walipoona yote yaliyotokea walikimbia, wakaenda kuwapa watu habari mjini na mashambani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Wale wachungaji walipoona yote yaliyotokea walikimbia, wakaenda kuwapa watu habari mjini na mashambani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Wale watu waliokuwa wakichunga lile kundi la nguruwe walipoona yaliyotukia, wakakimbia, wakaeneza habari hizi mjini na mashambani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Wale watu waliokuwa wakichunga lile kundi la nguruwe walipoona yaliyotukia, wakakimbia, wakaeneza habari hizi mjini na mashambani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Wachungaji walipoona lililotokea walikimbia, wakaieneza habari mjini na mashambani. Tazama sura |