Luka 8:26 - Swahili Revised Union Version26 Wakafika pwani ya nchi ya Wagerasi, inayoelekea Galilaya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Wakaendelea na safari, wakafika pwani ya nchi ya Wagerase inayokabiliana na Galilaya, ngambo ya ziwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Wakaendelea na safari, wakafika pwani ya nchi ya Wagerase inayokabiliana na Galilaya, ngambo ya ziwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Wakaendelea na safari, wakafika pwani ya nchi ya Wagerase inayokabiliana na Galilaya, ng'ambo ya ziwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Basi wakafika katika nchi ya Wagerasi, iliyo upande wa pili wa ziwa kutoka Galilaya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Basi wakafika katika nchi ya Wagerasi, ambayo iko upande wa pili wa ziwa kutoka Galilaya. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Wakafika pwani ya nchi ya Wagerasi, inayoelekea Galilaya. Tazama sura |