Luka 8:1 - Swahili Revised Union Version1 Ikawa baada ya hayo alikuwa akizungukazunguka katika miji na vijiji akihubiri na kuitangaza Habari Njema ya ufalme wa Mungu; na wale Kumi na Wawili walikuwa pamoja naye, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Baada ya hayo, Yesu alipitia mijini na vijijini akitangaza Habari Njema za ufalme wa Mungu. Wale kumi na wawili waliandamana naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Baada ya hayo, Yesu alipitia mijini na vijijini akitangaza Habari Njema za ufalme wa Mungu. Wale kumi na wawili waliandamana naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Baada ya hayo, Yesu alipitia mijini na vijijini akitangaza Habari Njema za ufalme wa Mungu. Wale kumi na wawili waliandamana naye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Baada ya haya Isa alienda, akawa anazunguka katika miji na vijiji akihubiri Injili ya ufalme wa Mungu. Wale wanafunzi wake kumi na wawili walikuwa pamoja naye, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Baada ya haya Isa alikwenda, akawa anazunguka katika miji na vijiji akihubiri habari njema za Ufalme wa Mwenyezi Mungu. Wale wanafunzi wake kumi na wawili walikuwa pamoja naye, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Ikawa baada ya hayo alikuwa akizungukazunguka katika miji na vijiji akihubiri na kuitangaza Habari Njema ya ufalme wa Mungu; na wale Kumi na Wawili walikuwa pamoja naye, Tazama sura |