Luka 7:46 - Swahili Revised Union Version46 Hukunipaka kichwa changu mafuta; bali huyu amenipaka miguu yangu marhamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema46 Wewe hukunionesha ukarimu wako kwa kunipaka mafuta kichwani, lakini huyu mwanamke amefanya hivyo kwa kunipaka mafuta miguu yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND46 Wewe hukunionesha ukarimu wako kwa kunipaka mafuta kichwani, lakini huyu mwanamke amefanya hivyo kwa kunipaka mafuta miguu yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza46 Wewe hukunionesha ukarimu wako kwa kunipaka mafuta kichwani, lakini huyu mwanamke amefanya hivyo kwa kunipaka mafuta miguu yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu46 Hukunipaka mafuta kichwani mwangu, lakini yeye ameipaka miguu yangu manukato. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu46 Hukunipaka mafuta kichwani mwangu, lakini yeye ameipaka miguu yangu manukato. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI46 Hukunipaka kichwa changu mafuta; bali huyu amenipaka miguu yangu marhamu. Tazama sura |