Luka 7:41 - Swahili Revised Union Version41 Akasema, Mtu mmoja mkopeshaji alikuwa na wadeni wawili; mmoja amwia dinari mia tano, na wa pili hamsini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 “Watu wawili walikuwa wamemkopa mtu fedha: Mmoja alikuwa amekopa denari 500, na mwingine hamsini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 “Watu wawili walikuwa wamemkopa mtu fedha: Mmoja alikuwa amekopa denari 500, na mwingine hamsini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 “Watu wawili walikuwa wamemkopa mtu fedha: mmoja alikuwa amekopa denari 500, na mwingine hamsini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 “Palikuwa na mtu mmoja aliyewakopesha watu wawili fedha: Mmoja alidaiwa dinari mia tano na mwingine dinari hamsini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 “Palikuwa na mtu mmoja aliyewakopesha watu wawili fedha: Mmoja alidaiwa dinari 500 na mwingine dinari hamsini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI41 Akasema, Mtu mmoja mkopeshaji alikuwa na wadeni wawili; mmoja amwia dinari mia tano, na wa pili hamsini. Tazama sura |