Luka 7:23 - Swahili Revised Union Version23 Naye heri mtu yeyote asiyechukizwa nami. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Heri mtu yule ambaye hana mashaka nami!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Heri mtu yule ambaye hana mashaka nami!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Heri mtu yule ambaye hana mashaka nami!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Amebarikiwa mtu yule asiyechukizwa na mimi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Amebarikiwa mtu yule asiyechukizwa na mimi.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Naye heri mtu yeyote asiyechukizwa nami. Tazama sura |