Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 7:1 - Swahili Revised Union Version

1 Alipokwisha kuyamaliza maneno yake yote masikioni mwa watu, aliingia Kapernaumu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Baada ya kusema yale aliyotaka watu wasikie, Yesu alikwenda Kafarnaumu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Baada ya kusema yale aliyotaka watu wasikie, Yesu alikwenda Kafarnaumu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Baada ya kusema yale aliyotaka watu wasikie, Yesu alikwenda Kafarnaumu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Baada ya Isa kumaliza kusema haya yote kwa watu waliokuwa wanamsikiliza, akaingia Kapernaumu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Baada ya Isa kumaliza kusema haya yote watu wakiwa wanamsikiliza, akaingia Kapernaumu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Alipokwisha kuyamaliza maneno yake yote masikioni mwa watu, aliingia Kapernaumu.

Tazama sura Nakili

Luka 7:1
4 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini yule aliyesikia ila hakutenda, mfano wake ni mtu aliyejenga nyumba juu ya ardhi pasipokuwa na msingi, mto ukaipiga kwa nguvu, ikaanguka mara; na maangamizi yake nyumba ile yakawa makubwa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo